Serikali Kuweka Mazingira Wezeshi kwa Wachimbaji Wadogo
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wachimbaji wadogo kuhakikisha wanapata mitaji, leseni na matumizi ya teknolojia katika shughuli za uchimbaji …