“Mbio Za Ubingwa Bado Mbichi”- Kocha Gamondi
Licha ya kuchora ramani nzuri ya kutwaa taji la ubingwa kwa msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameendelea kusisitiza kuwa wanahitaji kupambana na kujitoa katika michezo iliyosalia ya mzunguko huu wa lala salama Ligi Kuu Tanzania Bara ili …