Kamati ya Bunge Yachukizwa Kurejeshwa kwa Mikopo ya KKK
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imesema kuwa, haijaridhishwa na urejeshaji mikopo ya fedha za mradi wa kupanga, kupima na kumilikisha ardhi (KKK) unaofanyika kwenye halmashauri mbalimbali nchini. Hayo yamebainishwa leo tarehe 18 Machi 2024 na …