Breaking News
Breaking News
Dark
Light

kilimo

Kilimo Cha Mpunga Chachu Ya Maendeleo Bukombe, Geita

Wakulima wa zao la mpunga katika Wilaya ya Bukombe, Mkoani Geita, wamepata faida kubwa kupitia mashamba darasa yanayofadhiliwa na mradi wa TAISP chini ya Wizara ya Kilimo. Kupitia ziara ya kikazi Mkoani Geita tarehe 13 Juni 2024, wataalamu wa Wizara walitembelea mashamba
June 14, 2024