Kesi Ya Jenerali Bunyoni Kusikilizwa Leo
Kesi inayomuhusu Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi Jenerali Alain Guillaume Bunyoni inatarajiwa kusikilizwa leo baada ya kukata rufaa katika Mahakama ya rufaa. Mahakama ya juu ya Burundi ilimuhukumu Waziri Mkuu wa zamani Alain-Guillaume Bunyoni kifungo cha maisha jela baada …