Breaking News
Breaking News
Dark
Light

gamondi

“Mbio Za Ubingwa Bado Mbichi”- Kocha Gamondi

Licha ya kuchora ramani nzuri ya kutwaa taji la ubingwa kwa msimu huu, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameendelea kusisitiza kuwa wanahitaji kupambana na kujitoa katika michezo iliyosalia ya mzunguko huu wa lala salama Ligi Kuu Tanzania Bara ili kufikia malengo
April 22, 2024