Dark
Light

Freeman Mbowe

CHADEMA Wazindua Ziara ya Kihistoria Kanda ya Kaskazini

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, na Naibu wake, Tundu Lissu, wameanza ziara kubwa ya majuma matatu katika mikoa ya kaskazini mwa Tanzania. Wakisafiri kwa helikopta, ziara hii ni kampeni kubwa ya kisiasa iliyopewa jina “Operesheni GF,” inayoongozwa
June 22, 2024