Breaking News
Breaking News
Dark
Light

ajali njombe

Mmoja afariki, watatu wajeruhiwa ajali ya gari Njombe

Dereva wa gari la mizigo Adriano Samweli (40) mwenyeji wa Kigoma, amefariki dunia katika ajali iliyotokea Kijiji cha Igumbilo, Kata ya Lupila wilayani Makete mkoani Njombe baada ya kushindwa kulimudu gari hilo na kisha kutumbukia korongoni. Ajali hiyo imetokea usiku kuamkia jana
June 9, 2024