Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Mamadou Gaye Awaonya Mamelodi Dhidi Ya Yanga

Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini Imetahadharishwa juu ya mechi yao Klabu bingwa dhidi ya Yanga utakaocheza jumamosi 30 Machi 2024.
March 26, 2024
by
Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini Imetahadharishwa juu ya mechi yao Klabu bingwa dhidi ya Yanga utakaocheza jumamosi 30 Machi 2024.
 
Tahadhari hiyo imetolewa na Mwandishi nguli wa habari za michezo barani Afrika Mamadou Gaye amezungumza na PitchSide Podcast ya Mamelodi na kwenye mazungumzo hayo.
 
Mamadou ametaja baadhi ya sababu ikiwemo ya Yanga kutoka kupoteza kwenye mechi yao ya mwisho dhidi ya Azam FC hii imewaongezea umakini lakini pia kucheza fainali kwenye CAF CC msimu uliopita kunawapa shauku ya kufanya vizuri kwenye CAF CL
 
“Kama wameweza kucheza fainali ya CAF Confederation Cup kwanini washindwe kucheza Nusu Fainali ya CAF Champions League “
 
“Kama Mamelodi itajisahau basi itashangazwa “

Author

10 Comments

  1. It is really a nice and useful piece of information. I am
    happy that you just shared this helpful information with
    us. Please keep us up to date like this. Thank you for sharing.

  2. Heya i am for the first time here. I found this board and I find It really useful & it helped me out much.
    I hope to give something back and aid others like you aided me.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Police Arrest Four for Throwing Money

Mwanza police have detained Majani Masagati and three associates for

Trade Talks Enter Uncertain Phase Amid Tariff Clash

In a firm but carefully worded statement, one of the