Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Gardiola Amlilia Klopp; “Nitammiss Sana”

katika mahojiano hayo Guardiola alisema kuwa Klopp amekuwa na mchango mkubwa katika kazi.....
May 20, 2024
by

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amefunguka kwa hisia alipo ulizwa na waandishi wa habari kuhusu kuondoka kwa mpinzani wake wa muda mrefu EPL Jurgen Klopp [Kocha wa Liverpool]

Pep amekiri  hayo jana baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Man City na West Ham United huku timu hiyo ikiibuka na ushindi wa goli tatu kwa moja na kutawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa EPL huku wakichukua ubingwa huo mara nne mfululizo,

Soma Zidi:EPL Kumalizika Leo kwa Michezo 10

katika mahojiano hayo Guardiola alisema kuwa Klopp amekuwa na mchango mkubwa katika kazi yake ya ukocha na atamkumbuka daima na ataendelea kumheshimu kama moja ya makocha wenye mafanikio makubwa sana katika ligi hiyo yenye ushindani  na mvuto zaidi dunani

Pep ameongeza yakuwa anahisia kuwa Klopp atarudi tena katika ligi hiyo ya uingereza

“Ninahisia kubwa kuwa Klopp atarudi tena EPL” alisema Guardiola

Ikumbukwe ni wiki chache zimepita baada ya kocha huyo kutangaza kuondoka katika timu ya Liverpool baada ya kukaa kwa na kuiongoza timu hiyo kwenye mafanikio mengi kama meneja wa timu hiyo

Tazama Zaidi:Pep Azungumza kwa hisia kuuondoka kwa Klopp EPL”Nitamiss Sana”

na mara kadhaa moto umekuwa ukiwaka pale timu hizi mbili [ManCity na Liverpool] wakikutana huku makocha hao wakivimbishiana vifua kwa kuonesha ubora wa mbinu kadha wa kadha wakiwa uanjani

Man City Wamehitimisha msimu wakiwa na Alama 91 huku Liverpool akiwa katika nafasi ya tatu na alama 82 nyuma ya Arsenal 89.

Jurgen Klopp anaondoka Liverpool akiwa na heshima ya kuwapatia majogoo wa London takribani makombe 8 ya ligi kuu na amekuwa mshindani mkubwa wa Guardiola aliyevunja rekodi jana ya kuwa kocha wakwanza katika ligi hiyo kuchukua mara nne mfululizo makombe ya ligi kuu ya uingereza mfululizo.

Author

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Mandatory National ID Now Required For Marriages In Uganda

Ugandans will now be required to possess a National Identification

Arsenal Crushes Chelsea 5-0 in London Derby

The Gunners fire five past the Blues for their biggest