Dark
Light

World - Page 260

Ndege ya Makamu wa Rais wa Malawi Yapatikana

Mabaki ya ndege iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, pamoja na abiria wengine tisa, yamepatikana bila mtu yeyote aliyenusurika, Rais Lazarus Chakwera ametangaza. Ndege hiyo ilipotea kwenye rada za uwanja wa ndege Jumatatu asubuhi, ikiwa safarini ndani ya nchi. Wanajeshi
June 11, 2024

US Dollar Dominance Faces Growing Challenges

The United States is taking actions that are widely seen as chipping away at the foundations of the US dollar’s status as the world’s reserve currency, effectively daring the global community to find an alternative, according to financial experts and analysts. The
June 11, 2024

Aid Shift Worsens Africa’s Debt Crisis, Warns UN Report

A new report from the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) has shed light on a concerning trend in international aid, revealing that rich countries and organizations are increasingly providing assistance to Africa in the form of loans rather than
June 11, 2024

Global Concern as Malawi VP’s Plane Disappears

In a distressing turn of events, an aircraft carrying Malawi’s Vice President Saulos Klaus Chilima and nine other passengers went missing on Monday. The Malawi Defense Force aircraft departed from Lilongwe at 9:17 a.m. and was scheduled to land at Mzuzu International
June 11, 2024

Vita Ya Al-Shabaab Na Somalia Yaondoka Na Vifo Vya Watu

Wakaazi wanasimulia milipuko iliyosikika huku kundi la wanamgambo la Al-Shabaab likidai kuhusika na shambulio la Ceeldheer. Kikosi cha Somali kimekuwa kikipigana na wanamgambo wa Alshabab kwa zaidi ya miaka 16. Serikali ya Somalia ilisema wanajeshi wake watano walikufa katika vita, huku wakiwaua
June 10, 2024

Tanzania Yashinda Tuzo ya Global Impact 2024

Tanzania imepata heshima kubwa kwa kutunukiwa tuzo ya Global Impact Award 2024 kutokana na jitihada zake kubwa na zenye matokeo chanya katika mapambano dhidi ya saratani. Tuzo hiyo imetolewa na Shirika la Global Health Catalyst la Marekani na kupokelewa na Naibu Waziri
June 10, 2024
1 258 259 260 261 262 342