Breaking News
Breaking News
Dark
Light

mkutano

Zelenskyi Aghadhabishwa China Kukosa Mkutano wa Amani

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyi, pamoja na serikali ya Ujerumani, wameeleza kusikitishwa kwao sana na uamuzi wa China kutohudhuria mkutano wa amani unaotarajiwa kufanyika huko Uswisi mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo, unaoandaliwa katika hoteli ya kifahari ya Burgenstock Resort, umepangwa kujadili
June 14, 2024