Dark
Light

EPL

EPL Kumalizika Leo kwa Michezo 10

Ligi Kuu England inatarajia kumalizika rasmi leo Mei 19, kwa michezo 10 huku macho na masikio ya wapenzi wa kandanda yakielekezwa kwenye michezo miwili ya kukata na shoka ambayo itaamua nani atakuwa bingwa wa Ligi hiyo kwa msimu huu wa 2023/24. Mabingwa
May 19, 2024