Breaking News
Breaking News
Dark
Light

#burkinafaso #traore #westafrica

Burkina Faso Yaongeza Muda Wa Utawala Wa Kijeshi

Serikali ya mpito ya Burkina Faso imeongezwa muda kwa miaka mitano kufuatia kupitishwa kwa katiba iliyofanyiwa marekebisho katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano. Kiongozi wa mapinduzi ya kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré alitia saini mkataba huo uliorekebishwa mjini Ouagadougou siku ya Jumamosi, na
May 26, 2024