Breaking News
Breaking News
Dark
Light

Kiongozi wa upinzani Zimbabwe Jela miezi sita

Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongozi wa upinzani, Tendai Biti kifungo cha miezi sita jela au faini ya Dola 300 kwa kumshambulia kwa maneno mfanyabiashara wa Urusi.
February 29, 2024
by
Tendai Biti

Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongozi wa upinzani, Tendai Biti kifungo cha miezi sita jela au faini ya Dola 300 kwa kumshambulia kwa maneno mfanyabiashara wa Urusi.

Hakimu Vongai Guwuriro aliamua kwamba Tendai Biti, waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe, lazima alipe faini hiyo au afungwe, na hivyo kumaliza vita vya kisheria vilivyodumu kwa miaka minne kati ya Biti na Tatiana Aleshina ambaye alikuwa mwekezaji wa urusi.

Alec Muchadehama, wakili wa Biti, aliwaambia waandishi wa habari nje ya mahakama ya Harare Jumanne kwamba Biti atakata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

“Mimi na Tendai Biti tumesikitishwa sana na hukumu hiyo, lakini sishangai,” alisema. “Ndio maana tunaenda kukata rufaa Mahakama Kuu, tunazo sababu mbalimbali ambazo tutazieleza katika misingi yetu ya rufaa.”

Waendesha mashtaka wa serikali walimshtumu Biti kwa kumwita Aleshina “mpumbavu” na kumnyooshea kidole mwaka wa 2020. Biti alikanusha shtaka la kumshambulia kwa

Author

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Don't Miss

Putin Opposes EU Peacekeepers Amid Ukraine Talks

Russian President Vladimir Putin is stepping up diplomatic efforts to
Tibet, China: Earthquake rocks Tingri killing at least 53

Earthquake strikes Tibet, killing dozens

At least 53 people have been confirmed dead and 62