Serikali Imesaini Mkataba wa Ujenzi Uwanja Mpya Arusha
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa amesaini Mkataba wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Jijini Arusha na Mkandarasi kutoka kampuni ya CRCEG atakayejenga Uwanja huo kwa gharama ya shilingi Bilioni 286. Hafla …