Kiongozi wa upinzani Zimbabwe Jela miezi sita
Mahakama nchini Zimbabwe imemhukumu kiongozi wa upinzani, Tendai Biti kifungo cha miezi sita jela au faini ya Dola 300 kwa kumshambulia kwa maneno mfanyabiashara wa Urusi. Hakimu Vongai Guwuriro aliamua kwamba Tendai Biti, waziri wa zamani wa fedha wa Zimbabwe, …