Rais Samia Kuongoza Mazishi ya Lowassa February. 17
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa yanayotarajiwa kufanyika Wilayani Monduli Mkoani Arusha Jumamosi Februari17, 2024. Awali Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza siku …