Bei Ya Petrol Yaongezeka Lita Tsh. 3257 EWURA Yatangaza
Mamlaka ya Udhibiti Wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imearifu ongezeko la bei ya juu kwa bidhaa za mafuta ya petroli katika nchi kuanzia usiku wa leo Jumatano, Aprili 3, 2024, saa 6:01. Kwa mwezi wa Aprili 2024, bei …