Bil. 841.19 Kwaajili Ya Ujenzi Na Ukarabati Wa Miundombinu
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepanga mwaka 2024/25 kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya ujenzi, matengenezo, ukarabati wa miundombinu ya barabara na usafiri na usafirishaji wa vijijini na mijini ikiwamo ujenzi wa mifereji ya maji ya mvua yenye urefu …