Kampuni ya Simu Ilipewa Kibali cha Kuagiza Sukari
Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina, alitoa taarifa muhimu kwa vyombo vya habari kuhusu utaratibu uliotumika kuagiza sukari nchini ambapo kampuni iliyosajiliwa kuuza simu ilichukua zabuni ya kuagiza bidhaa hiyo, hayo amesema alipokutana na wanahabari jijini Dodoma leo, Ijumaa, …