Yanga Imefungua Tawi Lao Afrika Kusini
Klabu ya Young Africans Imefungua Tawi Lake Huko Nchini Pretoria Nchini Afrika Ya Kusini; Nia ikiwa kutanua Zaidi Nembo ya Klabu hio na Kuwaunganisha Mashabiki wake Waliomo Nchini Humo. Akiongea na Wanachama ,Viongozi Pamoja Na Wanahabari, Rais wa Timu hiyo …