Director Khalfani Afariki Dunia
Aliyekuwa muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania ‘Director Khalfani Khalmandro‘ amefariki Dunia alfajir ya leo tarehe 5 May 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zilieleza kuwa Khalfani alilazwa katika Hospitali ya …