Mapinduzi ya Teknolojia Chuo Kikuu Dodoma
wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma wamezindua mifumo kadhaa inayolenga kukabiliana na uvujaji wa mitihani na changamoto za uchaguzi wa kozi kwa kutumia teknolojia ya AI ya hali ya juu. Katika maonyesho ya Wiki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu …