Sweden Yaahidi Kutoa Dola Milioni 580 Mradi Wa SGR
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Kimataifa na Biashara ya Nje wa Sweden, Mhe. Diana Janse, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimueleza kuhusu nchi yake kuandaa Mkakati Mpya wa Ushirikiano kati …