Dark
Light

polisi

Jeshi la Polisi Mtuambie Kombo Mbwana Yupo Wapi – LEMA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati matukio ya baadhi ya wananchi kupotea kwa madai ya kutekwa na watu wasiojulikana, kwani matukio hayo yasipothibitiwa yanaweza kusababisha machafuko siku za
July 1, 2024

Polisi Waomba Ushirikiano Kuwalinda Watu Wenye Ualbino

Katika juhudi za kuimarisha usalama na kulinda haki za binadamu, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Fabian Mhagale amewataka wananchi wa Kata ya Mvungwe, Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Mhagale alisisitiza umuhimu
June 25, 2024

Polisi Nchi 14 Kufanya Mazoezi Pamoja Tanzania

Jeshi la Polisi Nchini, limesema linatalajia kuwa, mwenyeji wa zoezi la mafunzo ya utayari kwa vitendo (Field Training Exercise – FTX) mwaka 2024 litakalojumuisha nchi 14 wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Ukanda wa Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kuanzia tarehe 13
April 11, 2024

Polisi Kuimarisha Ulinzi Kuelekea Sherehe Z a Pasaka

Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Naibu kamishna wa Polisi DCP David Misime amesema machi 31,2024 Waumini wa Dini za Kikristo wataungana na wenzao Duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Pasaka huku likibainisha kuwa limeimarisha ulinzi na usalama kuelekea sikukuu hizo. Akisema hayo
March 27, 2024
1 2 3 5