Dark
Light

barabar

Mawasiliano ya Barabara Chanika Yarejeshwa

Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS), inaendelea na urejeshaji wa miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta athari katika baadhi ya maeneo Mkoani Dar es Salaam ikiwemo barabara ya Chanika – Ukonga. Akizungumza kwa
April 28, 2024

Ubovu Wa Barabara Wageuka Kero Salasala

Wakazi wa maeneo ya Salasala, Magengeni, na Africana kwa Abarikiwe katika wilaya ya Kinondoni wameomba serikali kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara zilizoathirika kutokana na hali mbaya ya miundombinu. Kwa mujibu wa wakazi hao, miundombinu mibovu ya barabara imeleta usumbufu mkubwa kwa
April 10, 2024

Wanaosimamia Ujenzi Barabara Ya Kibaoni Kuondolewa

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni – Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni – Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na ujenzi wa mradi huo kusuasua na utekelezaji wake kuwa
April 8, 2024

Mawasiliano Ya Barabara Ya Dar-Mtwara Yarejea

Mawasiliano ya barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara yarejea katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja la Somanga linalounganisha barabara hiyo kukatika na kusababisha barabara hiyo kufungwa kwa saa kadhaa. Akitoa taarifa,
March 25, 2024
1 2 3 7